Mbunge Peter Salasya ashitakiwa kwa kueneza chuki

  • | KBC Video
    158 views

    Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Kalerwa Salasya ameachiliwa kwa dhamana baada ya kukanusha mashtaka ya uchochezi. Salasya aliyezuiliwa na polisi mwishoni mwa juma kufuatia kukamatwa kwake siku ya Ijumaa iliyopita, alikanusha madai ya uchochezi kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii akilenga jamii fulani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News