Jiji la Mombasa lakumbwa na mafuriko makubwa

  • | KBC Video
    59 views

    Wakazi wa kaunti ya Mombasa wamekuwa wakikabiliana na athari za mvua ya bojo ambayo imekuwa ikinyesha katika eneo hilo kwa muda wa majuma mawili yaliyopita. Mvua hiyo imeathiri pakubwa shughuli za kila siku ikiwemo kusababisha kufungwa kwa barabara, kuharibu magari ,kuwapotezea wakazi makazi pamoja na kuvuruga biashara. Serikali kuu na zile za magatuzi zimehimizwa kuchukua hatua za dharura za kukabiliana na athari hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News