Nimemwangalia ndugu yetu (Gachagua) nikaona kuna bearing iko lose mahari: Dr. Alfred Mutua

  • | TV 47
    447 views

    Nimemwangalia ndugu yetu (Gachagua) nikaona kuna bearing iko lose mahari: Dr. Alfred Mutua

    Mental health issues are real issues na nimemwangalia ndugu yetu (Gachagua) nikaona kuna bearing iko lose mahari na pengine tunapaswa kumutafutia daktari. Mtu ambaye anaongea hivo kweli either huyo mtu ana roho mbaya, ni mtu mbaya sana chuki kama shetani ama kuna kasoro mahali. - Dr. Alfred Mutua, CS Labour and Social Protection.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __