NATEMBEYA AACHIWA KWA DHAMANA, UPINZANI WAKOSOA SERIKALI KWA KAULI KALI

  • | K24 Video
    4,888 views

    Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ameachiliwa kwa dhamana ya Sh500,000 baada ya kulala seli usiku mmoja. Anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi na sasa amezuiwa kufika ofisini au kutoa maoni hadharani kuhusu kesi hiyo.