| Kilimo Biashara | Ng'ombe wa Boran ni chaguo bora kwa wafugaji wengi

  • | Citizen TV
    506 views

    Ng’ombe wa Boran bado ni chaguo bora kwa wafugaji wa mifugo ya kibiashara pamoja na wakulima wadogo humu nchini, kutokana na uwezo wao wa kuhimili mazingira mbalimbali na faida wanayotoa. Kwenye hifadhi ya Ol Pejeta, kaunti ya Laikipia, ng’ombe hawa wanafugwa katika mazingira ya kipekee kabisa — pamoja na baadhi ya wanyama pori maarufu zaidi barani Afrika.