Wakazi wa Mukuru kwa Njenga walalamika kukosa nyumba zilizozinduliwa na rais Ruto katika mtaa huo

  • | NTV Video
    5,317 views

    Wakazi wa Mukuru kwa Njenga hapa jijini Nairobi wanalalamika kuwa hakuna hata mmoja wao aliyeingia kwenye nyumba zaidi ya elfu moja za bei nafuu zilizozinduliwa na rais William Ruto hapo jana katika mtaa huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya