Wanaharakati Boniface Mwangi na Agatha Atuahire hawajulikani waliko baada ya kukamatwa Tanzania

  • | NTV Video
    460 views

    Siku tatu baada ya wanaharakati Boniface Mwangi na Agatha Atuahire kukamatawa nchini Tanzania, kumekuwa na kimya kuhusu waliko. Familia ya Mwangi iliongoza wanaharakati kutafuta taarifa kutoka kwa ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi na pia Wizara ya Mashauri ya Kigeni bila mafanikio.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya