Meru: Kina mama wameandama wakikashifu kile wanachosema ni kudhulumiwa kwa Kawira Mwangaza

  • | NTV Video
    2,617 views

    Makumi ya akina mama kutoka kaunti ya Meru wameandama katika mji wa Meru wakikashifu kile wanachosema ni kudhulumiwa kwa aliyekuwa gavana wa meru Kawira Mwangaza.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya