Je, wananchi waliovuta umri — wakongwe, wazee, ajuza na bikizee — wanafahamu nini kuhusu SHA?

  • | NTV Video
    185 views

    Serikali inaendelea kuhamasisha wananchi wote kujisajili katika Mamlaka ya Bima ya Afya ya Jamii (SHA) ili kunufaika na huduma bora za afya. Lakini je, wananchi waliovuta umri — wakongwe, wazee, ajuza na bikizee — wanafahamu nini kuhusu SHA? Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya