Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire aachiliwa

  • | Citizen TV
    2,565 views

    Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire ameelezea alivyoteswa na baadhi ya maafisa wa polisi wa Tanzania, akitupwa katika mpaka wa Uganda na Tanzania saa chache tu baada ya kuachiliwa na serikali ya Tanzania. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, wanaharakati wa kenya wametishia kuishitaki serikali ya tanzania kwa kukiuka haki za kibinadamu kwa kuwadhulumu raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.