LSK YATUHADHARISHA DHIDI YA UKIUKAJI WA FARAGHA KATIKA MSWADA WA FEDHA

  • | K24 Video
    37 views

    Chama cha Wanasheria Nchini (LSK) kimetahadharisha kuwa Mswada wa Fedha 2025/2026 unaweza kuvunja haki za faragha za walipa kodi. LSK yasema taarifa binafsi na kifedha za wananchi zinaweza kufichuliwa, hasa ikiwa taasisi kama hospitali zitalazimika kutoa taarifa kamili za malipo ya kodi. Tahadhari hiyo imetolewa wakati wa ukusanyaji wa maoni ya umma na Kamati ya Fedha ya Bunge.