Afya ya uzazi yapaswa kujumuishwa katika utunzi wa sera

  • | KBC Video
    14 views

    Wakati wa mazungumzo na wanahabari jijini Nairobi, wadau hao walitaja ongezeko la kasi la watu, mabadiliko ya hali ya hewa, uharibifu wa mazingira na kuendelea kwa mapungufu katika upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi kama sababu zinazoongeza visa vya mimba za utotoni, ugonjwa wa UKIMWI na unyanyasaji wa kimapenzi na kijinsia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News