Je ni wakati wa Afrika Mashariki kubeba ubingwa wa CAF?

  • | BBC Swahili
    4,232 views
    Mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika utafanyikika Zanzibar, Jumapili hii huku bingwa mpya akitarajiwa kupatikana. . Bingwa mpya wa kombe hilo baada ya bingwa mtetezi Zamalek kuvuliwa ubingwa katika hatua ya robo fainali. Tuungane sasa mwandishi wa BBC, Florian Kaijage kuelekea mchezo huo wa fainali. - #bbcswahili #kandanda #michezo #simba #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw