Skip to main content
Skip to main content

Mwalimu mkenya auawa kwa risasi kwenye ghasia za Tanzania

  • | Citizen TV
    7,978 views
    Duration: 2:44
    Familia moja katika mtaa wa huruma hapa nairobi inaomboleza kifo cha jamaa yao aliyepigwa risasi wakati wa ghasia za uchaguzi nchini tanzania. John Okoth Ogutu aliyekuwa mwalimu katika shule moja jijini Dar es Salaam alikohudumu kwa miaka 10 alipigwa risasi na kuuawa. Ben kirui alizungumza na familia yake na hii hapa taarifa.