4 Nov 2025 7:54 pm | Citizen TV 703 views Duration: 1:09 Mahakama ya Bomet imemuhukumu miaka 40 gerezani mwanamume aliyepatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa kumteketeza miaka mitano iliyopita.