Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi ashinikizwa kujiuzulu kwa kisa cha wakenya Uganda

  • | Citizen TV
    988 views
    Duration: 1:55
    Makundi ya haki za binadam sasa yanamtaka mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na balozi wa Kenya nchini Uganda kujiuzulu kwa utepetevu wao kuhusu wakenya wawili wanaoendelea kuzuiliwa nchini Uganda. Wanaharakati hawa wanadai kuwa Bob Njagi na Nicholas Oyoo wako katika hali mbaya ya kiafya wanakozuiliwa Uganda.