Skip to main content
Skip to main content

Linet Mumbua aangazia ujasiri wake kwenye biashara ya fanicha

  • | Citizen TV
    311 views
    Duration: 5:38
    Kwenye pilkapilka za mijini, watu wanapohangaika kutafuta kazi wengi huishia kuwa kuwa madalali wa biashara za wengine ilimradi riziki ipatikane. Hata hivyo Linet Mumbua aliona fursa katika kazi ya udalali na kuamua kuichangamkia licha ya kuwa haikuwa kwenye ndoto zake za maisha. Kwa hivi sasa ni mmiliki wa duka maarufu la kuuza fanicha haswa vitanda vya kisasa hapa jijini Nairobi. Hebu tupate kina cha simulizi ya safari yake katika makala yetu ya mwanamke Bomba yanayofuata sasa