Skip to main content
Skip to main content

Nairobi United yashinda 3–1, yapanda nafasi ya sita KPL

  • | Citizen TV
    152 views
    Duration: 1:14
    Timu ya Nairobi United ilirejea kutoka kipigo chao cha 3-0 dhidi ya Sofapaka na kuwafunga Bandari fc 3-1 kwenye mechi pekee ya ligi kuu ya kenya iliyochezwa kwenye uwanja wa dandora jumanne alasiri. Mechi hiyo ilikuwa ngumu katika kipindi cha kwanza kilichomalizika kwa sare ya 1-1.