Kajiado: Wakulima walalamika bei duni ya maziwa

  • | NTV Video
    84 views

    Wakulima na wafugaji katika ya Kajiado wamelalamikia kuathirika kwa soko la biashara ya uuzaji wa maziwa, wakisema ni kutokana na mauzo ya bei duni na mirundiko ya madeni kutoka kwa wateja wasiolipa kwa muda unaostahili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya