Kirinyaga: Wezi wavamia Kanisa Mwea, wala sakramenti na kuiba kinanda

  • | NTV Video
    534 views

    Wakazi wa kijiji cha Mutithi huko Mwea katika Kaunti ya Kirinyaga waliamkia kwa mshangao baada ya wezi kuvamia Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Matayo, wakala sakramenti na divai kabla kuiba kinanda.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya