Wakazi wa Kiambaa waishi kwa hofu baada ya chui kudaiwa kushambulia zaidi ya kondoo 100

  • | NTV Video
    405 views

    Wakazi wa maeneo tofauti ya eneobunge la Kiambaa wanaishi na hofu baada ya zaidi ya kondoo mia moja kuvamiwa na mnyama wanayedai kuwa ni chui.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya