Wakazi wa Nyakach wataka KWS kuweka mitego kuwanasa wanyama wasumbufu

  • | Citizen TV
    2,223 views

    Wakazi wa kijiji cha Kalwande kaunti ya Kisumu sasa wanalitaka shirika la huduma kwa wanyama pori kuweka mitego ili kunasa nguchiro na nyani wanaowahangaisha. Ombi hili linajiri baada ya watu wawili kujeruhiwa na nguchiro hao,