Wakulima wa mpunga watetea Mwea, Kirinyaga

  • | Citizen TV
    409 views

    Wakulima wa mpunga eneo la mwea kaunti ya Kirinyaga wanalalamika kile wanadai ni serikali kukosa kununua mchele kutoka kwao na kuruhusu bidhaa hiyo kutoka mataifa ya nje. Wakulima hawa sasa wakisema wamesalia na mchele wa zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye maghala yao.