Malalamiko Malaba: wafanyabiashara wasema viongozi wamewatelekeza

  • | NTV Video
    132 views

    Wafanyabiashara katika soko la Malaba, Kaunti ya Busia, wameelezea kutoridhishwa na hatua ya baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wameendelea kutelekeza wajibu wao na kufanya masuala ya maendeleo kuwa ya kisiasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya