| Mwanamke Bomba | Aisha Swaleh anatunza mazingira Mikindani, Mombasa

  • | Citizen TV
    538 views

    Licha ya changamoto za kimaumbile za kutosikia na kuongea, Aisha Swaleh amemudu kushinda ulemavu huo na kujipatia ajira ya kutengeneza aina tofauti ya bidhaa eneo la mikindani kaunti ya Mombasa. Aisha mwenye Shahada ya kupika kwa zaidi ya miaka mingi amekuwa akisaka kazi katika hoteli ila kutokana na changamoto ya ulemavu hakuna aliyetaka kumwajiri na kuamua kujitosa katika kazi ambayo sasa inachangia katika utunzaji mazingira mtaani Mikindani kaunti ya Mombasa.