Huduma za afya nchini zatatizika huku wahudumu wa afya wa UHC wakiendelea na mgomo wao

  • | NTV Video
    802 views

    Huduma za afya nchini zinaendelea kutatizika huku wakenya wengi wakilazimika kutafuta huduma za afya katika hospitali mbadala baada ya wahudumu wa afya wa UHC kuendelea na mgomo wao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya