Viongozi wa vyuo vikuu wakubali msamaha wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    3,551 views

    Nao vijana waliohudhuria maombi hayo yamesema wamekubali msamaha wa rais William Ruto ila wakamtaka kutimiza ahadi zake kwao. Vijana hao waliowakilisha vyuo vikuu nchini wamerejelea kauli ya rais huku naye Mbunge wa Dagoretti Kazkazini Beatrice Elachi kwenye maombi akionekana kukiri kuwa viongozi wamewaangusha vijana kwa muongozo,