Somaliland yafungua ofisi shirikishi jijini Nairobi

  • | KBC Video
    59 views

    Serikali ya Kenya imeruhusu Somaliland kufungua afisi ya ushirikishi jijini Nairobi. Rais wa Somaliland Abdirahman Mohamed Abdillahi,aliyewasili humu nchini siku ya Jumatatu, alifungua rasmi ofisi hiyo mtaani Runda, jijini Nairobi, baada ya kupata idhini kutoka kwa wizara ya mashauri ya nchi za kigeni. Alikariri kwamba afisi hiyo itahudumu kama uwakilishi wa udiplomasia hapa nchini, hatua inayolenga kufanikisha biashara,huduma na masuala ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive