Skip to main content
Skip to main content

Linet Mumbua mmiliki wa duka maarufu la kuuza fanicha aangaziwa katika makala ya Mwanamke Bomba

  • | Citizen TV
    605 views
    Duration: 5:46
    Kwenye pilkapilka za mijini, watu wanapohangaika kutafuta kazi wengi huishia kuwa kuwa madalali wa biashara za wengine ilimradi riziki ipatikane. Hata hivyo Linet Mumbua aliona fursa katika kazi ya udalali na kuamua kuichangamkia licha ya kuwa haikuwa kwenye ndoto zake za maisha. Kwa hivi sasa ni mmiliki wa duka maarufu la kuuza fanicha haswa vitanda vya kisasa hapa jijini Nairobi. Hebu tupate kina cha simulizi ya safari yake katika makala yetu ya mwanamke Bomba yanayofuata sasa