Wakazi wa Kajiado watahadharishwa dhidi ya kununua nyama kiholela

  • | Citizen TV
    517 views

    Wakazi wa kaunti ya Kajiado na kaunti zinazopkana na kuanti hiyo wametahadhrishwa dhidi ya kununua nyama kiholela kufuatia kuongezeka kwa nyama ambazo hazijakaguliwa kwenye maduka ya kuuza nyama kaunti hiyo.