Haya yanajiri baada ya Diamond Platnumz kuchapisha video ikimuonesha akiwa na Sheikh anafungishwa ndoa na kufuatiwa na picha zikimuonesha akimuoa Zuchu.
Mama yake @mama_dangote pia amethibisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ni kweli mwanawe Diamond platnumz na zuchu wameoana.
Swali ni je kwanini waoane kisirisiri? Na kwanini Diamond Platnumz na Zuchu wameamua kuachia video hizi sasa? Kuna nini hapa kilichojificha?
:@frankmavura
#bbcswahili tanzania #bongofleva
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Aug 2025
- Authorities in Taiwan were scrambling on Tuesday to evacuate hundreds ahead of a possible landfall by Typhoon Podul on the island's southeastern coast, while nearby areas battle to recover from floods and record winds brought by previous storms.
12 Aug 2025
- Hundreds of cabin crew members took their fight to major Canadian airports on Monday, picketing against unpaid labor, as talks on wages intensify between Air Canada AC.TO and its flight attendants this week ahead of a possible strike.
12 Aug 2025
- Condemnations poured in from the United Nations, the EU and media rights groups Monday after an Israeli strike killed an Al Jazeera news team in Gaza, as Palestinians mourned the journalists and Israel accused one of them of being a Hamas militant.