Boniface Mwangi na Agather Atuhaire waelezea mateso makali waliyokumbana nayo Tanzania

  • | NTV Video
    1,870 views

    Wanaharakati waliokuwa wamefika nchini Tanzania kwa kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchini humo, Tundu Lissu, wameelezea kilichowapata mikononi mwa polisi. Wanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda wameelezea mateso makali waliyokumbana nayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya