Mwangi na Agatha Atuhaire wasimulia madhila yao

  • | Citizen TV
    2,668 views

    Mwanaharakati Boniface Mwangi na mwenzake kutoka Uganda Agather Atuhaire sasa wanadai kuteswa, kulawitiwa na kubakwa walipokuwa mikononi mwa maafisa wa serikali ya Tanzania. Wawili hao wakieleza bayana walichopitia walipokuwa wakizuiliwa kwa kuwa nchini Tanzania mwezi jana. Ben Kirui anaarifu zaidi