Baraza la magavana lasema UHC ina wafanyakazi hewa

  • | Citizen TV
    281 views

    Huenda Kenya inapoteza mabilioni ya fedha kupitia mpango wa afya kwa wote wa UHC kufuatia madai ya kuwepo wa maelfu ya wafanyakazi hewa wanaolipwa mishahara. Mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana Muthomi Njuki anasema kuwa, takribani wafanyakazi hewa elfu tatu huenda wamekuwa wakilipwa.