Misa ya kumpa buriani padre cheruiyot yafanywa leo

  • | Citizen TV
    1,062 views

    Viongozi wa kisiasa na wale wa kidini wamemlaumu waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwa kuzumbea kazini kwa kushindwa kuhakikisha usalama maeneo ya bonde la Kerio. Kwenye ibada ya wafu ya marehemu Padre wa kanisa katoliki Allois Cheruiyot aliyeuawa majuma kadhaa yaliyopita, viongozi hao wamesema Murkomen ameshindwa na majukumu wakitaka waliohusika kukamatwa na kuchukuliwa hatua mara moja.