Wanandoa wasioweza kusikia wafunga ndoa katika sherehe ya kipekee

  • | KBC Video
    27 views

    Hisia zilitanda katika kanisa la PCEA Kikuyu, kaunti ya Kiambu mwishoni mwa juma, baada ya wapenzi wawili wenye ulemavu wa kusikia kufunga pingu za maisha kwenye sherehe ya ndoa iliofana. Joseph Karienga na Esther Wambui walifunga ndoa kwa kutumia ishara kwenye hafla iliowaacha waliohudhuria katika hali ya tabasamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive