Rais wa Slovenia aonya kuwa mabadiliko ya tabianchi yanakithiri

  • | KBC Video
    8 views

    Rais wa Slovenia Nataša Pirc Musar ametoa wito kwa Wakenya kutekeleza jukumu kubwa katika kuhifadhi mazingira, akionya kuwa mzozo wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi unakithiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive