Vyama vya KNUT na KUPPET vyagadhibishwa na TSC kuhusu nafasi ya walimu Mandera

  • | Citizen TV
    223 views

    Vyama vya walimu vya KNUT na KUPPET tawi ya Mandera vimeelea kughadhabishwa na hatua ya tume ya kuajiri walimu TSC kubatilisha nafasi za walimu waliokuwa wamehitimu kupandishwa ngazi kwa njia ambazo wanasema hawazielewi.