Tanzania yakashifiwa vikali na mashirika kwa dhuluma na ukatili

  • | Citizen TV
    2,840 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu sasa yanawataka mabunge ya Kenya na Uganda kuwawajibisha waliowatesa raia wake nchini Tanzania. Mashirika hayo yanaitaka serikali ya Tanzania kuwajibikia dhulma na ukatili dhidi ya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire, na pia kuwafidia.