Skip to main content
Skip to main content

Wabunge walalamika serikali haijajiandaa vyema kuwahamisha waathiriwa wa maporomoko ya ardhi

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 2:04
    Wabunge wa kamati ya maendeleo ya kanda wameitaka serikali kuwahamisha waathiriwa wa maporomoko ya ardhi katika sehemu za juu , wakisema wananchi hao wamekuwa wakiishi katika maeneo hatari kwa muda mrefu. Wabunge hao wamezungumza bungeni nairobi.