5 Nov 2025 1:15 pm | Citizen TV 4 views Kwa siku ya saba mfululizo, wakazi wa eneo bunge la Tinderet kaunti ya Nandi, wamekuwa wakiandamana wakitaka serikali imtafute mgombea wa kiti cha unbunge cha eneo hilo aliyetoweka .