Mwanaharakati rose njeri aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    348 views

    Mawakili wa njeri walipinga mashtaka dhidi yake Mawakili wasema mashtaka hayana msingi wa kisheria Anatuhumiwa kwa kubuni jukwaa la kuwasilisha maoni mtandaoni Jukwaa ni la kuwasilisha maoni kuhusu mswada wa fedha