5 Nov 2025 1:19 pm | Citizen TV 185 views Duration: 1:48 Muungano wa wanawake Kaunti ya Turkana chini ya mwavuli wa 'VOICE OF THE WOMEN' wamejitokeza na kukashifu mauaji ya kila mara kwenye mpaka wa Kaunti za Turkana na Pokot Magharibi .