MARIA MAMA WA YESU KUTOKA BUSIA

  • | KNA Video
    680 views
    Mwanamke mmoja kutoka kijiji cha Nangoma eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia ameendelea kuwashangaza watu baada ya kujitangaza kuwa Maria Mama wa Yesu. Judith Nafula ambalo ni jina lake rasmi, alikuwa mhumini katika parokia ya kikatoliki ya Lwanya hapo awali kabla ya kufurushwa na padri kwa madai ya kutabiria na kuwaombea watu hadi kupata uponyaji.