Wabunge 18 kuongoza maridhiano kuhusu fedha za magatuzi katika mwaka wa kifedha 2025/ 2026

  • | NTV Video
    752 views

    Jumla ya wabunge 18 kutoka bunge la kitaifa na lile la seneti wameorodheshwa kuongoza maridhiano baina ya mabunge hao mawili kuhusu idadi ya fedha zitakazotengewa magatuzi katika mwaka wa kifedha 2025/ 2026.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya