- 357 viewsDuration: 3:58Wakazi wa mji wa mpakani wa Malaba wamelalamikia kudorora kwa usalama katika mji huo. visa vya wizi vimeongezeka mno na kuwatia hofu wafanyabiashara na wageni mjini humo...Wakazi hao wamewataka maafisa wa usalama kupiga doria usiku ili kuwanasa wahalifu.