Kamati ya bajeti imewasilisha rasmi ripoti ya makadirio ya bajet

  • | K24 Video
    107 views

    Katika hatua muhimu ya mchakato wa bajeti ya taifa, kamati ya bajeti imewasilisha rasmi ripoti ya makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 mbele ya bunge la kitaifa. Ripoti hiyo inatoa mwongozo wa jinsi serikali inavyopanga kutumia fedha zake katika mwaka ujao wa kifedha