Watu 3 wanazuiliwa na maafisa wa usalama mjini Kisii kwa njama ya mauaji

  • | Citizen TV
    2,052 views

    Polisi mjini Kisii wanawazuilia watu watatu akiwemo muhudumu wa afya kwa tuhuma za kuhusika na kupanga njama ya mauaji ya mzee mmoja aliyekuwa amelazwa hospitalini. Polisi wanasema wawili kati yao wanadaiwa kutumwa na muhudumu mmoja wa afya kumdunga sindano mgonjwa huyo wa miaka 82 aliyekuwa amelazwa hospitali ya Bosongo. Hata hivyo, njama yao ilitibuka,