Orengo azuru ikulu baada ya kusema hawezi kumpigia magoti Rais Ruto ili kaunti yake ipate maendeleo

  • | NTV Video
    6,905 views

    Gavana wa Siaya James Orengo alikuwa miongoni mwa wageni wa kwanza kuwasili Ikulu... wiki chache tu baada yake kuapa kuwa hawezi kumpigia magoti Rais William Ruto ili kaunti inufaike na maendeleo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya