Serikali yaanzisha mradi wa kazi wa Climate Workx

  • | Citizen TV
    224 views

    Serikali imezindua rasmi mradi wa Kazi za Mtaani chini ya mradi wa Climate Works, ambao utawajumuisha zaidi ya vijana laki moja. Vijana hawa kutoka kaunti 46 nchini watapewa kazi haswa za ujenzi wa barabara kwa muda wa miezi 6.